Mathias Meinrad Chikawe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mathias Chikawe)
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Mathias Meinrad Malome Chikawe. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Mathias Meinrad Chikawe (amezaliwa 30 Mei 1951) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania, awamo ya 2005 hadi 2010. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chikawe ni Waziri wa Sheria. Mwaka wa 1982 alipata shahada ya tatu katika somo la sheria ya kimataifa huko Uholanzi.
Viungo vya nje[hariri]
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |