Mataiva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Mataiva

Mataiva ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Tikehau. Eneo la kisiwa ni 25 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Pahua. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 280. Watu wakaao kisiwani kwa Mataiva huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.