Kilwa Masoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Masoko)
Rukia: urambazaji, tafuta
Kata ya Kilwa Masoko
Miji inayoitwa Kilwa katika Mkoa wa Lindi
Miji inayoitwa Kilwa katika Mkoa wa Lindi
Nchi Tanzania
Mkoa Lindi
Wilaya Kilwa
Idadi ya wakazi
 - Mji 12,324

Kilwa Masoko ni mji mdogo katika Tanzania ikiwa makao makuu ya Wilaya ya Kilwa tangu miaka ya 1960.

Iko barani ikitazama Kilwa Kisiwani. Mji ni wa kisasa. Kuna uwanja mdogo wa ndege pia bandari ndogo yenye kituo cha forodha.

Kata ina wakazi 12,324 (2002). [1]


Marejeo [hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilwa - Tanzania Flag of Tanzania.svg

ChumoKandawaleKikoleKijumbiKipatimuKivinje SinginoKiranjeranjeLihimalyaoLikawageMandawaMasokoMitejaMingumbiMitoleMiguruweNanjirinjiNjinjoPandeSongosongoTingi (Kilwa)


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilwa Masoko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.