Kilwa Masoko
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Kilwa Masoko | |
| Miji inayoitwa Kilwa katika Mkoa wa Lindi | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Lindi |
| Wilaya | Kilwa |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 12,324 |
Kilwa Masoko ni mji mdogo katika Tanzania ikiwa makao makuu ya Wilaya ya Kilwa tangu miaka ya 1960.
Iko barani ikitazama Kilwa Kisiwani. Mji ni wa kisasa. Kuna uwanja mdogo wa ndege pia bandari ndogo yenye kituo cha forodha.
Kata ina wakazi 12,324 (2002). [1]
[hariri] Marejeo
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania.
| Kata za Wilaya ya Kilwa - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chumo • Kandawale • Kikole • Kijumbi • Kipatimu • Kivinje Singino • Kiranjeranje • Lihimalyao • Likawage • Mandawa • Masoko • Miteja • Mingumbi • Mitole • Miguruwe • Nanjirinji • Njinjo • Pande • Songosongo • Tingi (Kilwa) |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kilwa Masoko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |