Marilyn Baptiste

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marilyn Baptiste ni Chifu wa zamani wa Taifa la Kwanza la Xeni Gwet'in huko British Kolumbia, Kanada.

Alitunukiwa Tuzo la Eugene Rogers mnamo 2011, kwa jukumu lake katika kampeni ya kuokoa Teztan Biny . [1] [2] Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka 2015. [3] [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Chief Marilyn Baptiste wins award for her spirited defence of environment". wildernesscommittee.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-02. Iliwekwa mnamo 1 March 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "About the Eugene Rogers Environmental Award". wildernesscommittee.org. Iliwekwa mnamo 1 March 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Template error: argument title is required. 
  4. "Marilyn Baptiste. 2015 Goldman Prize Recipient North America". goldmanprize.org. Iliwekwa mnamo 1 March 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Baptiste kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.