Margaret Bakkes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Margaret Bakkes
Amezaliwa 14, Desemba, 1931
Afrika kusini
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini

Margaret Bakkes (14 Disemba 1931 - 29 Juni 2016) alikuwa mwandishi kutoka Afrika Kusini.

Aliolewa na mwanahistoria Cas Bakkes na kuwa mama wa watoto wanne. C. Johan Bakkes, Marius, Matilde, na Christian Bakkes, wawili kati yao Johannes na Christiaan pia walikuja kuwa waandishi. [1]

Margaret Bakkes aliandika vitabu zaidi ya thelathini (30) na hadithi fupi za Kiafrika.

Margaret Bakkes alifariki akiwa na umri wa miaka 84.[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

  • Die Reise Van Olga Dolsjikowa En Ander Omswerwinge
  • Kroniek Van Die Sewe Blou Waens: Die Kort Lewe Van Gert Maritz
  • Littekens: Stories En Memories
  • Susanna Die Geliefde
  • Waar Jou Skat Is
  • Baksel in Die Môre
  • Ontheemdes
  • Benedicta

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rus in vrede, Margaret Bakkes (1931 - 2016)". bookslive.co.za (kwa Afrikaans). Iliwekwa mnamo 2 July 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Margaret Bakkes (1931 - 2016) Archived 9 Januari 2017 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Bakkes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.