Marco Bizot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marco Bizot

Marco Bizot (alizaliwa 10 Machi 1991) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uholanzi ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya AZ katika Eredivisie ya Uholanzi.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Genk[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 22 juni 2014, ilitangazwa kuwa klabu ya Groningen imemuuza Bizot kwa upande wa Ubelgiji katika klabu ya Racing Genk. Alisaini mkataba kwa miaka mitatu(3).

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Bizot alipata nafasi ya ya kwanza kamili katika kikosi cha kimataifa cha Uholanzi mwaka 2018 Machi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marco Bizot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.