Mamie Manckay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mamie Manckay N’ghemi (anajulikana kama Mamie Manckay na pia kama Zykky Manckay,[1]; alizaliwa 19 Septemba 1995) ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayecheza kama beki kwa timu ya TP Mazembe na timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Léopards senior dame: Les 23 sélectionnées pour affronter le Cameroun". RDC Afrique Football (kwa en-US). 2019-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-05-05. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamie Manckay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.