Makame Mbarawa
(Elekezwa kutoka Makame Mnyaa Mbarawa)
Makame Mbarawa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Aliteuliwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli kuwa mbunge na Waziri wa Kazi, usafirishaji na Mawasiliano kwa miaka 2015 – 2020. Aliwahi pia kuwa Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia miaka ya 2010-2015 [1][2][3][4][5]
Makame Mbarawa | |
Waziri wa Kazi, Usafirishaji na Mawasiliano
| |
Aliingia ofisini 2015 | |
Rais | John Magufuli |
---|---|
mtangulizi | John Magufuli |
Muda wa Utawala 12 December 2015 – 23 December 2015 | |
Rais | John Magufuli |
mtangulizi | Jumanne Maghembe |
aliyemfuata | Gerson Lwenge |
Muda wa Utawala Novemba 2010 – 5 Novemba 2015 | |
Rais | Jakaya Kikwete |
Makamu | January Makamba |
Muda wa Utawala Novemba 2010 – Julai 2015 | |
Appointed by | Jakaya Kikwete |
Constituency | None (Mbunge ) |
utaifa | Tanzanian |
chama | CCM |
mhitimu wa | Astrakhan State Technical University (MSc) University of New South Wales (PhD) |
Fani yake | Professor |
dini | Islam |
Positions | Profesa, Tshwane University of Technology (2009-2010) |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ https://www.parliament.go.tz/administrations/525
- ↑ https://www.parliament.go.tz/administrations/204, Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017.
- ↑ https://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1764/2010-2015 Archived 12 Juni 2015 at the Wayback Machine. |title=Member of Parliament CV |date= |work= |publisher=Parliament of Tanzania |accessdate=20 February 2013 |archive-url=https://web.archive.org/web/20150612001225/
- ↑ https://parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1764/2010-2015 Archived 12 Juni 2015 at the Wayback Machine. |archive-date=12 June 2015}}
- ↑ "Professor Mbarawa Biography" (PDF). forum2012.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-13. Iliwekwa mnamo 20 February 2013. Check date values in:
|accessdate=
(help)