Jumanne Maghembe
Profesa Jumanne Abdallah Maghembe (amezaliwa 1 Januari, 1970) ni mbunge wa jimbo la Mwanga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.[2]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Mengi kuhusu Jumanne Abdallah Maghembe (1 Februari 2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
- ↑ https://peoplepill.com/people/jumanne-maghembe/
Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |