Majadiliano ya mtumiaji:Oscar Kikoyo
The name Carlin is of Irish origin which means “A little champion”
Origin of Carlin as a name[hariri chanzo]
Carlin name is of Irish origin which means Little champion. The name is multisex as it can be of both male or female gender Carlin Oscar Kikoyo (majadiliano) 08:39, 2 Julai 2021 (UTC)
Ndugu umerudia kuingiza katika makala hii matini ambayo nimewahi kusafisha nikieleza sababu kwenye ukursa wa majadiliano wa makala. Naona wewe bado mgeni tafadhali uzoee utaratibu: ukiona mabadiliko ukitofautiana na wachangiaji wengine, tuna utaratibu wa kujadiliana na kuelezana. Kipala (majadiliano) 09:50, 12 Januari 2022 (UTC)
- Sawa na samahani kwa usumbufu wangu
- sababu mojawapo ni baada ya kutafuta mojawapo ya habari hizo na kuzipata za Kiingereza hivyo nikaona kutafuta tafsiri yake na kuongezea katika habari kuhusu BAKITA kwenye wikipedia.
- Asante kwa kunielewesha. Carlin Oscar Kikoyo (majadiliano) 13:55, 13 Januari 2022 (UTC)