Majadiliano ya mtumiaji:Moongateclimber/Sandbox

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salam. Samahani. Could you kindly please write this sentense in English?

  • Pia wanamuziki walikuma wafanyaji kwa ijara, na bendi ilihozi ala ya muziki.

I really wants to correct it, but I have no idea with that one. What is "Ijara, ilihozi, walikuma?" Please!!--Mwanaharakati (majadiliano) 16:21, 20 Agosti 2008 (UTC)[jibu]


ROTFL, I knew sooner or later my very bad swahili would cause problems. I'll translate that into english first, then explain "my" swahili... What I meant is: "Musicians were hired workers; the band owned the musical instruments". Ijara should have meant "salary" (pay), according to these guys. Yup. I-li-hozi should have meant it-did-own (if hozi means to own, as those same guys suggest). Finally, walikuma is a mistype for wa-li-kuwa, which to me would mean they-did-be ("they were"). I guess something went wrong with my interpretation of verbs here. Again thanks a lot for your help. Moongateclimber (majadiliano) 22:32, 20 Agosti 2008 (UTC)[jibu]
BTW, I have been studying kiswahili in my spare time for just about one month or so. I really love it, but I still find it quite kigumu and I do honestly admit to myself that I'm at very beginning of a shule ya msingi. So believe me if I tell you that I would never dare write in sw.wiki anything else than very short sentences "copied" elsewhere (as I did with Yes) if you didn't ask me about muziki. I guess being thrown in the water is the best way to learn to swim, but this of course doesn't mean that I want to treat wiki as my own private sehemu ya mazoezi. That's why I'm appreciating your help so much; please keep doing whatever correction you thinks my text needs, and just tell me if you ever get to think that it's just too plain bad :-) I wouldn't be upset :-) Also, I will let you know when the article is complete, so that you can tell me whether it can or can't be actually put up in the 'pedia. Thank you! Moongateclimber (majadiliano) 22:44, 20 Agosti 2008 (UTC)[jibu]
Mambo vipi. Basi ngoja nijaribu na mimi!
  • Musicians were hired workers; the band owned the musical instruments
Kiswahili

Bendi zilikuwa zikimiliki vyombo vya muziki na zilikuwa na kawaida ya kukodisha wanamuziki kwa lengo la kuwafanyisha kazi na kuwalipa mishahara mara tu wamalizapo kazi hiyo.

Basic words

You may use "Mshahara" instead of using ijara. You may use "Kumiliki" instead of using ilihozi. Furthermore: Instrument it's "Ala", but when we say Music Instruments", we meant: Vyombo vya Muziki! You don't need to feel bad for what u've written, cause that is only the beginning!! I'm with you for every step you move. And I will give you more-more words and correct them for our friendship sake! Mbona hata mimi sijui Kiingereza vizuri? I'm pretty sure if I miss use so many words, but I try my bset!! Au vipi rafiki. Poa basi,--Mwanaharakati (majadiliano) 07:23, 21 Agosti 2008 (UTC)[jibu]

Kiingereza chako kizuri! Nitapenda kusema kiswahili kama unasema Kiingereza! :-) Sisi tuna bahati sote wawili tunasema Kiingereza kufahamikiana, wa ama ninataka kuwasiliana na wewe kwa lugha ya Kiswahili kusudi kujifunza! Asante kwa urafiki wako! Moongateclimber (majadiliano) 10:08, 21 Agosti 2008 (UTC)[jibu]
Hahaha! Kumbe unajua Kiswahili eeh!!!! Basi tutaendelea kusaidiana kwa kila hali na mali. Kama nilivyokwambia, tutakuwa pamoja kwa kila hatua!! Najua kama unajifunza Kiswahili, ili uweze kuwasiliana na watu wengine au hata kwa faida yako binafsi, ama sivyo? Kiswahili ni lugha rahisi sana, sema inategemea na wewe na hayo mazingira unayojifunzia, lakini hadi sasa maendeleo yako yamekuwa mazuri kabisa na wala usihofu kuhusu kujiendeleza Kiswahili chako kwa kutumia Wikipedia hii!! Basi safari bado ndefu, twende kazi....--Mwanaharakati (majadiliano) 13:06, 21 Agosti 2008 (UTC)[jibu]