Majadiliano ya mtumiaji:M. Dingemanse

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The best way to reach me is my English talk page. Kwa heri! — mark 17:52, 26 Septemba 2006 (UTC)[jibu]

Karibu, Mark! Nimefurahi kuonana nawe hapa. --Oliver Stegen 12:21, 30 Septemba 2006 (UTC)[jibu]

Hujambo, Oliver! Nimeajabu kukutana nawe hapa! Habari gani? (I must admit, however, that my Swahili is a bit rusty -- very nice meeting you here!) — mark 21:07, 30 Septemba 2006 (UTC)[jibu]

Sijambo. Nimegundua wikipedia ya Kiswahili mwaka huu tu, mwezi wa Aprili, na kuchangia moja kwa moja. Katika maoni yangu tuzisaidie hasa lugha zisizo na waandishi wengi. Haya, tuendelee ... :-)

--Oliver Stegen 21:23, 1 Oktoba 2006 (UTC)[jibu]