Mtumiaji:Baba Tabita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:Oliver Stegen)
Rukia: urambazaji, tafuta
Baba Tabita
Crystal Clear app browser.png Mtumiaji huyu ana tovuti ambayo inaweza kupatikanika hapa.
Crystal Clear app kalarm.png Leo ni tarehe 10 Machi 2012.
de Dieser Benutzer spricht Deutsch als Muttersprache.
en-4 This user speaks English at a near-native level.
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
nl-1 Deze gebruiker bezit elementaire kennis van het Nederlands.
fr-1 Cet utilisateur peut contribuer avec un niveau élémentaire de français.
Admin mop.PNG Mtumiaji huyu ni Mkabidhi katika Wikipedia ya Kiswahili. (hakikisha)
Bureaucrat Mtumiaji huyu ni Bureaucrat katika Wikipedia ya Kiswahili.
Small scream.png Mtumiaji huyu anapoteza muda wake mwingi kwa kuhariri Wikipedia.

Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.

Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.

Tarehe 4 Januari 2012 nimefikisha michango 30,000.

Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!

Vifaa binafsi

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine