Majadiliano ya mtumiaji:Karim M. Fairom

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu Nd. Karim M. Fairom katika Wikipedia ya Kiswahili! Twafurahia kila mmoja anayengia na kujiunga nasi. Kwa sasa utaona saana mimi Muddyb na Kipala tuliye tayari kukusaidia wewe! Ukiwa una swali we uliza tu utajibiwa. Ingawaje mwanzoni utajionea mauzauza lakini taratiibu baadaye utazoeya. Karibu sana.--Mwanaharakati (majadiliano) 16:51, 14 Julai 2008 (UTC)[jibu]