Majadiliano ya mtumiaji:Dee Soulza

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Jadnapac (majadiliano) 23:48, 13 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Pendekezo la kufuta Makala ya Mwitiko wa kimataifa kwa Vita vya Gaza 2014‎[hariri chanzo]

Ndugu, ninakushukuru kwa moyo wako wa kuchangia katika Wikipedia ya Kiswahili. Hata hivyo, inaonekana bado hujajua vizuri namna ya kuandika katika Wikipedia kwakuwa umetumia Jamii/Categories zote ambazo bado hazijaundwa, pia makala ni fupi sana kiasi kwamba haikidhi vigezo vya kuwa kwenye Wikipedia.

1.Unaweza kuipanua zaidi kwa kuongeza maudhui ili ikidhi vigezo na ibaki humu 2.Iwapo utahitaji mafunzo (mafunzo ni bure)ya namna wa kuchangia kwenye Wikipedia unaweza wasiliana nami kwa kujibu ujumbe huu hapa happa au kupitia kundi la Watumiaji kupitia ukurasa wa:Wikimedia TanzaniaJadnapac (majadiliano) 00:01, 14 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Ahsante ndugu @Jadnapac. Ni kweli kuwa mimi ni mgeni haps Wikipedia. Hata hivyo taarifa iliyokujia na kuonesha kuwa "nimeandika makala fupi sana" haikuwa sahihi kwani NILIFASIRI sehemu ndogo ya makala tajwa, si UANDISHI wa makala. Bila shaka, nilipohifadhi, 'bot' ikanikariri kuwa nimepakia makala mpya, fupi. Ahsante tena na tafadhali endelea kutuelekeza wahariri wapya. Dee Soulza (majadiliano) 10:48, 23 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Asante na Kazi Iendelee.

Makala zenye tafsiri ya komputa[hariri chanzo]

Habari, ndugu na hongera kwa juhudi zako naona unatafsiri makala ndefu kwa kutumia tafsiri ya komputa na kuja kumwaga kwenye kiswahili. Sipendelei kuona unaandika vitu virefu alafu havieleweki ni vyema kuanza na kidogo kwanza kama hujui nasio kufanya uharibifu. Hussein m mmbaga (majadiliano) 23:09, 25 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Hussein, ukweli situmii kompyuta kutafsiri. Mfumo umetengeneza tafsiri ya kompyuta tayari ambapo mtu unahariri sehemu ambazo kompyuta haikuweza"kunyoosha Kiswahili". Walichosahau ni kuondoa zile "prompt" za arafa za kuonya endapo hukumalizia kwa 100% Ukweli ni kuwa kuna maeneo ambayo kompyuta nayo imepatia! Tafadhali chunguza eneo hilo. Dee Soulza (majadiliano) 04:25, 26 Aprili 2024 (UTC)[jibu]
ndugu marejeo yako yakoje ? Je jamii zako umewekaje? Hussein m mmbaga (majadiliano) 06:50, 26 Aprili 2024 (UTC)[jibu]
ujambo kunamakala hizi zote zimetumika katika njia halali ya kutafsiri
amani sana Edward ambele (majadiliano) 07:26, 26 Aprili 2024 (UTC)[jibu]
Ahsante @Edward ambele. Nitaangalia sehemu nilizokosea na kuzirekebisha. Dee Soulza (majadiliano) 07:44, 26 Aprili 2024 (UTC)[jibu]
@Hussein m mmbaga Nitaangalia sehemu nilizokosea na kufanya marekebisho. Ahsante. Dee Soulza (majadiliano) 07:46, 26 Aprili 2024 (UTC)[jibu]