Majadiliano ya kigezo:Baki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Badala ya kiolezo (template) hicho nimeanza kuweka Template:POV kwa vile maana ya "baki" hasa ni unrelated (kwa Kiingereza), au inagusa mabaki, k.m. mabaki ya chakula. Ndiyo sababu nimetumia "kutokupendelea upande wowote" ingawa ni maneno marefu. Nadhani yanaeleza sera ya wikipedia vizuri zaidi kuliko "baki". --Oliver Stegen 19:09, 19 Aprili 2007 (UTC)[jibu]