Majadiliano:Utendi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndugu, ni kweli KKK inaonyesha utendi na utenzi ni kitu kimoja, lakini sisi wanakanisa tumezoea kutumia neno utenzi kwa maana ya pekee, si utenzi wa shujaa (epic) tu kama utendi, bali hasa wa kiroho. .. Shalom. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:10, 18 Juni 2019 (UTC)[jibu]