Majadiliano:Utendi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Utendi[hariri chanzo]

Ndugu, ni kweli KKK inaonyesha utendi na utenzi ni kitu kimoja, lakini sisi wanakanisa tumezoea kutumia neno utenzi kwa maana ya pekee, si utenzi wa shujaa (epic) tu kama utendi, bali hasa wa kiroho. .. Shalom. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:10, 18 Juni 2019 (UTC)