Majadiliano:Unju bin Unuq

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimeamua kuacha makala hapa maana nimekuta majadiliano (iliyotajwa sasa) kwenye intaneti ninaona ni hadithi inayosimuliwa mahali mbalimali pa pwani. Isipokuwa nimeondoa marejeo kuhusu Dodoma maana siwezi kujua kama hii ni hadithi tu inayosimuliwa pwani juu ya bara au kama hadithi hizi zasimuliwa huko pia. Menginevyo makala inahitaji vyanzo imara zaidi. Kipala (majadiliano) 13:12, 13 Desemba 2014 (UTC)[jibu]