Majadiliano:Stafeli

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Madai bila thibitisho[hariri chanzo]

Si mzuri kudai kwamba kitu kinatibu bila kuonyesha marejeo. ChriKo (majadiliano) 19:24, 17 Septemba 2017 (UTC)[jibu]

Sawa, ila mimi sifuti maandishi kama sijui kuwa yana makosa. Kama wewe mtaalamu una wasiwasi na yaliyoandikwa, uyafute tu. Kwa jumla naona Wikipedia ya Kiswahili haina marejeo mengi kama ya Kiingereza inayodai kila sentensi ithibitishwe, na hata hivyo marejeo yenyewe pengine hayana hakika... Asante kwa kupitia kurasa zote za wanafunzi wetu kuhusu biolojia na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:02, 18 Septemba 2017 (UTC)[jibu]
Sawa, nitabadilisha matini. ChriKo (majadiliano) 17:44, 18 Septemba 2017 (UTC)[jibu]