Majadiliano:Stadi za lugha

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nikilinganisha maelezo ya Kamusi Sanifu ya TUKI na maelezo ya makala, kuna tofauti. KKS inasema:" stadi [stadi/ nm (-) [i-/zi-] ujuzi au maarifa katika kufanya kitu au kazi ; stadi za lugha ujuzi au maarifa ya kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika katika lugha; ujuzi au maarifa ya jinsi ya kujifunza. " Makala inaeleza ualimu wa lugha. Kipala (majadiliano) 12:12, 12 Agosti 2020 (UTC)[jibu]