Majadiliano:NASA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndesanjo, hujambo. Sidhani ni vema kubadilisha "mradi wa Mercury" kuwa "mradi wa Zebaki". "Mercury" hapa ni jina halisi la kiingereza. Ibaki ilivyo. Pia tusingebadilisha "Gemini" kuwa "mapacha", Wostok kuwa "mashariki" na kadhalika --Kipala 17:35, 3 Aprili 2006 (UTC)[jibu]

Mpango wa NASA Wakupanua angaa[hariri chanzo]

Mpango wa shirika la anga NASA kutanua anga za mbali Son of african (majadiliano) 10:04, 16 Septemba 2022 (UTC)[jibu]