Majadiliano:Msuva

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Umbo, vyanzo[hariri chanzo]

Makala hii inamhusu mchezaji anayeweza kustahili makala kama ushuhuda unapatikana. Hakuna vyanzo vilivyotajwa. Umbo la mwandishi haulingani staili yetu. Sehemu za matini (kama kuhusu mdogo wake) hazina maana kwa habari zake. Kama haisahihishwa afadhali kufuta. Linganisha Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo) na Wikipedia:Mwongozo (Muundo) Kipala (majadiliano) 14:38, 25 Agosti 2018 (UTC)[jibu]