Majadiliano:Meli za mizigo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nguvu ya umeme[hariri chanzo]

Si kwelikwamba meli za mizigo utembea kwa nguvu ya umeme. Hadi mwaka 2022 nishati hii hutumiwa kama majaribio tu. Kipala (majadiliano) 09:23, 9 Agosti 2022 (UTC)[jibu]