Majadiliano:Leah Mwendamseka

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

"Leah Richard Mwendamseka (Lamata)" muundo sio sahihi. Ilitakiwa iwe "Leah Mwendamseka" kichwa cha makala au "Leah Richard" halafu ndani tunataja kama mwigizaji wa filamu kutoka.... anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama "Lamata" kutokana na filamu ya...!!--Muddyb Mwanaharakati Longa 17:29, 17 Novemba 2018 (UTC) [jibu]