Majadiliano:Diskografia ya Tupac Shakur

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salaam, BT! Kazi hii tayari nishaianza. Nakuomba uvute subira kidogo kwani makala yake ni ndefu na nimeanza kuichakata nikiwa nyumbani. Nipe kama siku 3/4 hivi. Nitaibandika kama ipasavyo. Wako,--MwanaharakatiLonga 05:31, 17 Septemba 2013 (UTC) [jibu]

Ndugu, nimefanya kama nilivyoahidi. Ni tumaini langu siku nyingine utanivumilia! Wako,--MwanaharakatiLonga 20:22, 22 Septemba 2013 (UTC)[jibu]