Majadiliano:Chama Cha Mapinduzi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbona CCM wanasherehekea uanzishaji wa chama chao tarehe 7 Julai (Saba Saba) kama kilianzishwa tarehe 5? Kuna mtu anayeweza kuhakikisha nini ni tarehe ya kweli? Oliver Stegen 13:29, 5 May 2006 (UTC)

7.7. ni tarehe ya kuanzishwa kwa TANU. Mkutano wa 1977 ulichounda CCM ulifanyiwa pia mwezi wa Julai. Nikikumbuka vema (lakini sina uhakika) walikuwa na mkutano wao, wakafanya azimio la kuungana tar. 5.7. ("kuzaliwa") lakini waliitangaza tar 7. ili washikamana na 7.7. Lakini hii ni kumbukumbu tu. --Kipala 15:19, 5 May 2006 (UTC)
Asante kwa maelezo! Oliver Stegen 15:51, 5 May 2006 (UTC)