Majadiliano:Benki ya Maendeleo ya TIB

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala imeundwa bila marejeo yoyote yenye maana. Wikipedia ya Kiingereza hairuhusiwi kama chanzo. Pia mchangiaji ametumia google translate; ingawa sijaona makosa mazito ya msamiati, lakini sentensi si Kiswahili kweli, amefuata mtiririko wa Kiingereza. aseme kwa maneno yake. Kipala (majadiliano) 10:28, 19 Agosti 2021 (UTC)[jibu]