Majadiliano:Bawasiri

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kukopa kutoka Kiingereza au la?[hariri chanzo]

Kwa vile siyo lazima kutumia neno la kukopa kutoka Kiingereza wakati kuna neno la Kiswahili hasa, nimehamisha kichwa cha makala kutoka "Hemoroidi" kwenda "Bawasiri". Lugha nyingine kama Kiindonesia, Kimalay au Kituruki pia hutumia neno kama "Wasir", "Buasir" au kadhalika. --Baba Tabita (majadiliano) 13:10, 5 Juni 2014 (UTC)[jibu]