Lize Kop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kop akiwa na Timu ya taifa Uholanzi mnamo 2018

Lize Kop (alizaliwa 17 Machi 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uholanzi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lize Kop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.