Liwale
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Liwale ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 75,546 [1].
Wenyeji wa sehemu hii ni hasa Wangindo.
[hariri] Utawala
Ndani ya wilaya hii kuna kata 16 kama zifuatazo:
- Barikiwa
- Kiang'ara
- Kibutuka
- Kimambi
- Liwale Mjini
- Liwale 'B'
- Makata
- Mangirikiti
- Mbaya
- Mihumo
- Mirui
- Mkutano
- Mlembwe
- Mpigamiti
- Nangano
- Ngongowele
[hariri] Marejeo
| Kata za Wilaya ya Liwale - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Barikiwa | Kiang'ara | Kibutuka | Kimambi | Liwale 'B' | Liwale Mjini | Makata | Mangirikiti | Mihumo | Mirui | Mkutano | Mbaya | Mlembwe | Mpigamiti | Nangano | Ngongowele | |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Liwale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |