Lina Hurtig
Lina Mona Andréa Hurtig (alizaliwa Septemba 5, 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu Mswidi anayecheza kama mshambuliaji Katika klabu ya Arsenal ya Ligi ya Wanawake(WSL) na pia timu ya taifa ya Uswidi[2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Wayback Machine". web.archive.org. 2019-06-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
- ↑ "Lina HURTIG". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.