Lillian Dube

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lillian Dube (alizaliwa 30 Septemba 1945) ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Pengine anajulikana zaidi kwa kuigiza masebobe ya sabuni ya Generations.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2007, Dube aligundulika kuwa na saratani ya matiti na amekuwa amepata nafuu kufika mwaka wa 2008. Saratani ilirejea tena mwaka wa 2015.

Tunzo na uteuzi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2017, Dube alitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari katika Drama na utayarishaji wa filamu katika chuo kikuu cha Teknolojia cha Tshwane.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lillian Dube kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.