Lerum
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lerum ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 15,819 (mwaka 2005).
[hariri] Jiografia
Eneo lake ni 13.98 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 20 km.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lerum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |