Lambo la Bujagali

Majiranukta: 0°29′56″N 33°08′24″E / 0.49889°N 33.14000°E / 0.49889; 33.14000
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

0°29′56″N 33°08′24″E / 0.49889°N 33.14000°E / 0.49889; 33.14000


Watu wakifurahia maporomoko ya Bujagali.

Lambo la Bujagali , lililoko karibu Jinja, Uganda, lilikamilika mnamo Novemba 2011. Hapo maji yake yalifunika maporomoko ya Bujagali (au Budhagali), yaliyokuweko huko mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria hivi kwamba wataalamu wengine waliyahesabu kuwa chanzo cha Nile.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]