Kwaresima kuu
Mandhari
Kwaresima kuu ni jina la Kwaresima katika madhehebu mbalimbali ya Waorthodoksi, likiwa na maana ya mfungo mkuu katika mwaka wa Kanisa.
Adhimisho lake linafanana na lile la Kanisa la magharibi ila kuna tofauti kadhaa, mojawapo ni kuacha liturujia ya Kimungu (yaani Misa) siku za kawaida za wiki, kama Wakristo wa Kanisa la Kilatini wanavyofanya siku ya Ijumaa kuu, kwa kuwa furaha inayodokezwa na umbo la divai inaonekana kutopatana na toba ya wakati huo.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kwaresima kuu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |