Kunle Ajayi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kunle Ajayi (Juni 16, 1964) ni mwimbaji wa nyimbo za injili raia wa Nigeria, mtunzi wa nyimbo, mpiga saksafoni, mwinjilisti na Mkurugenzi wa Muziki katika Kanisa la Redeemed Christian Church of God . [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Gospel artistes that made 2014 memorable". Vanguard News. Iliwekwa mnamo 15 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "...I specialise in drums, keyboard, apart from my saxophone –Olasax - Entertainments". Daily Independent, Nigerian Newspaper. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 March 2015. Iliwekwa mnamo 15 March 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kunle Ajayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.