Krakov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Krakov (kwa lugha ya Kipolandi: Kraków, Kiingereza: Cracow, Kilatini: Cracovia) ni mji wa Poland. Mji huo ulikuwa na watu 756,336 mwaka wa 2007.[1] Krakov ilikuwa mji mkuu wa Poland kuanzia mwaka wa 1038 hadi 1596.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Central Statistical Office, Warsaw 2007, Population. Size and Structure by Territorial Division, as of June 30, 2007. Table 3, pg.13 of the Report (PDF). Iliwekwa mnamo 2007-12-13.
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Krakov kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.