Klaipėda
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Klaipėda (Kijerumani: Memel) ni mji nchini Lituanya. Kuna wakazi 238 000 (mwaka 2008). Mji ulianzishwa 1254.
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 401 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hiyo kuhusu "Klaipėda" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Klaipėda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |