Kiwiliwili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kiwiliwili pamoja na mahali pa ogani mhimu ndani yake

Kiwiliwili (kilatini truncus „gogo“) ni sehemu kuu ya mwili bila kichwa, shingo, miguu na mikono na mkia.

[hariri] Sehemu kuu za kiwiliwili

Kiwiliwili hutazamiwa kuwa na sehemu 4 ndani yake (pamoja na majina ya kilatini yanayotumiwa na matibabu)

[hariri] Ogani muhimu katika kiwiliwili

Ogani nyingi muhimu zimo ndani ya sehemu za kiwiliwili, kwa mfano

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine