Kitshangla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitshangla ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bhutan, Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Watshangla. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitshangla nchini Bhutan imehesabiwa kuwa watu 140,000. Pia kuna wasemaji 7000 nchini Uchina (2000) na wasemaji 11,200 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitshangla iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitshangla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.