Kitolaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitolaki (pia Kikonawe) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watolaki, Wamekongga na Wawiwirano kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitolaki imehesabiwa kuwa watu 331,000, yaani Wakonawe 298,000, Wamekongga 33,000 na Wawiwirano 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitolaki iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitolaki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.