Kiswahili cha Socotra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiswahili cha Socotra ni aina ya kiswahili kilichotoweka kilichokuwa kinazungumzwa kisiwani Socotra nchini Yemen. Iliripotiwa kuzungumzwa katika sehemu tano za kisiwa hicho (watu wapatao 2,000) mwaka 1962.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Socotra Swahili language", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-06-18, iliwekwa mnamo 2022-08-12