Kisiwa cha Sehel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Sehel[1] kinapatikana huko nile,takribani maili 2(kilomita 3.2) kusini magharibi mwa Aswan kusini mwa misri. Ni kisiwa kikubwa kilicho kuwa na muundo usio na mpangilio maalumu kama visiwa vingine,na kinapatikana katikati mwa mji,pia juu ya mto Aswan.[2]

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Kisiwa cha Sehel, kinazunguka 3/4 ya upana wa mto Nile, ndio kisiwa cha kwanza kwa ukubwa chini ya mto nile na chini ya bwawa la Aswan(1902). kwahio kwa mtirirko huo visiwa vinavyofata baada ya Sehel ni: Saluga, Ambunarti, Elephantine, kisha kisiwa cha Kitchener.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "TM Places". www.trismegistos.org. Iliwekwa mnamo 2022-06-11. 
  2. "Aswan Dam", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-26, iliwekwa mnamo 2022-06-11