Kisishee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisishee (au Kizire) ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya iliyozungumzwa na Wasishee. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kisishee, msemaji wa mwisho amefariki miaka ya 1990, yaani lugha imtoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisishee iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisishee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.