Kisheko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisheko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Washeko. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisheko imehesabiwa kuwa watu 38,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisheko iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisheko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.