Kisause

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisause ni lugha ya Kitor-Kwerba nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasause. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisause imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisause iko katika kundi lake lenyewe la Sause.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisause kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.