Kiponosakan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiponosakan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waponosakan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiponosakan imehesabiwa kuwa watu 3000 lakini idadi imepungua sana tangu pale, maana yake lugha ya Kiponosakan imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiponosakan iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiponosakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.