Kioroch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kioroch ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waoroch. Isichanganywe na lugha ya Kiorok ambayo ni karibu sana lakini tofauti. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kioroch imehesabiwa kuwa watu wanane tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioroch iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioroch kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.